#TajiriLaKihaya@mchumimrembo Next Time ukiamua Kuleak DM … toa zote…
USIFUTE WALA KUVUKA TEXT YOYOTE ILE.
Hapa umenileta sasa kwenye uwanja wa nyumbani… I enjoy this…
Yaani hii Ndio kazi yangu Mimi- kuhakikisha Msimbe hapati Furaha humu ndani…Twende kazi!
Umemwaga mboga Ngoja nimwage ugali…
Mm Hakuna sehemu yoyote ambayo umewahi KUNIKATAA Kama unavyodai… na wala hatujawahi Kua na story na Utani na wewe!
Ni mgongano tu wa maslahi…
mm nlitaka kuichapa wewe ulitaka kunichuna!
Tulikutana wote wahuni wa mjini!
Wewe mwanzo ulitaka nkuoe Uwe mke wangu wa pili… Ila mm nlikuona Kama mpenzi tu wakupiga na kupita! HAUNA HADHI HIO ya Kua Mke wa mtu wewe!
Na ndio maana nlikataa swala la wewe Kua mke nkakuambia nataka Uwe mpenzi tu!
(Frame two)- HII KWA NINI UMEIFUTA KWENYE SCREENSHOT ZAKO?
Pili Baada ya kugundua nataka kuipiga tu- Ukadai NYUMBA na Gari… ambavyo hata kama mm ni Tajiri nliona Hauna Hadhi ya kupewa vitu hivyo!
(Frame 3) HII KWA NINI UMEIFUTA KWENYE SCREENSHOT ZAKO?
Na pia uliniishangaza mtu hata hatujuani -Hatufahamiani inakuaje unataka tu hivi vitu- NKAJUA TU HUYU NI MALAYA KAMA MALAYA WENGINE!
Na ndio maana nlisisitiza tuonane kwanza…mm ni Mhaya Ila sio mjinga kiasi hicho cha kuuziwa mbuzi kwa kugunia!
Hizi ni DM za humu X- naona umechagua txt za whatsapp za kuzirusha humu… zingine umefuta- hata ulivyogoma kuja Ramada uka suggest sehem nyingine…
Txt ulizonitumia Baada ya kuonana? Msimbe wa humu mlienae kwenye group lenu la wasap uliosuggest mje nae ThreeSome?Hela uliyoiomba nkakutumia ukasema ni ndogo unataka zaidi?
Zote hizi haujazituma…
NB: chats zote ni kabla HAUJA JIHARISHIA KWENYE BODA…
Umesahau hata kama huwa nafuta txt za whatsapp Ila huwa naziSave kwenye iCloud +. 12 TB Nayoilipia 179,900/= kila mwezi kwenye iPhone yangu 16 promax ambayo nasubiri iphone 17 Pro nlioagiza USA 🇺🇸 inafika next week!
Ngoja nidownload utafurahi hii wiki … nmekutega ukajaa mazima!
#TajirLaKihaya
Kwa jinsi naona Mabinti waChuo wanachofanya/wanachofanywa… kwenye hizi Clubs Usiku….
Inabidi wazazi tugome kuwapeleka watoto wetu Vyuoni hadi Serikali ituhakikishie Usalama wao hasa wa kimaadili!
Serikali inafaa iwaProtect hawa watoto… ikiwezekana kuweka sheria kali!
Huu UHURU umepitiliza aisee na tunao umia ni sisi Wazazi💔💔
@Samalentips Hapo mbona ilikua ni kumpigia tuu simu huyo mwenye laini unajua yupo wapi kwa msaada wa VODACOM then unaongea nae ili kama ni kumfata alipo ulitakiwa ufunge safari hadi alipo then uiombe hela ikiingia mkatoe then umwachie hela ya usumbufu na ule kona na kibunda
Kuna watu wanapesa nyingi hadi unajiuliza
Kuna mhaya mmoja kamleta mpenzi wake Dar kula bata, kakodisha helcopter kwa lisaa kalipia 1.6M sawa na 400k kwa dakika 15 tu, wamezunguka dar nzima na kufrahi
Kwenye Comment kuna jamaa kasema huyo mdada anamjua alisoma nae chuo na ashawahi mu approach akakataa akasema ana mchumba wake na kuna siku aliwah kuwaona wote na demu alikua anaenda hadi magheton kwa mshikaji japo mshikaji mwenyewe sio huyo alienae saiv
Mshikaji anamwaga tu hela kuhakikisha demu anafurahi mambo kibao kumbe kuna wahuni walikua wakijimegea chuo🙌
Mapenzi upuuzi kabisa yan
nimecheki video za huyu dada wa pale UDSM na ndio nimegundua kumlea mtoto kwa utandawazi ulio pitiliza ni ulimbukeni wala sio ujanja.
hebu jionee laana mwenyewe hapo comment section siongei sana.
#TajiriLaKihaya
A Russian Guy kaenda Kenya Kawakula Wanawake sio Poa…
Kitu kizuri ni kwamba wote aliowakula ni WASIMBE!
Ndio maana kila siku nawaonya kuhusu WASIMBE… wananjaaaa Kali na kizungu Uchwara 💔
Nmekuwekea VIDEO zake zote hapo chini👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽���🏽
Siku ya tatu leo naona Tweet za mafumbo kuhusu “CHINA PLAZA”.
Kama unajua kinachoendelea andika hapo kwenye Comment kusaidia na wengine ambao hawajui kitu kama mimi.
@MkulimaKante@Sirjeff_D Cheti chako kinathamani sana kaka usikikufulu namna hiyo.
Kuna mwanangu kamaliza chuo karudi mitaanai kapiga mishe mishe hapa na pale since 2021 kaja kupata Ajira 2025 lakini salary yake 2M
Mtaa ulimkataa na vibiashara alivyokua anafanya kwo usifanye hivyo
Unatakiwa uingize 400K kila siku ili ufikie mshahara wa mbunge kwa mwezi
Mwalimu anatakiwa afanye kazi miaka miwili na nusu ili aingize mshahara wa mwezi wa mbunge
Hii ndio Tanzania bro.