@Mofasa_Mofasa@marandaJr_ @Mashaurijr2 @HebahUkhty @Ann05430021 @GilbertRingo @pollophd Itoshe kusema wifi analipa had chnj inabaki😍😍😍😍😍Mwenyezi Mungu awasimamie muishi Maisha ya Aman na upendo.
@Mofasa_Mofasa@marandaJr_ @Mashaurijr2 @HebahUkhty @Ann05430021 @GilbertRingo @pollophd@TrapQue16755759 Nimefurahi sana kumuona Joker akiwa serious nakutakia kila la heri brother Mungu alikusuduia kila ndoa iwe na furaha mfanye Mungu kuwa mshauri wako na kiongozi wako utafanikiwa usimtegemee mwanadamu na kumfanya kiwa kinga yako zaidi ya Mungu