Masikini wenye sare wakitumiwa kuwatisha masikini wenzao ili watawala dhalimu waendelee kula na kusaza bila usumbufu.
Hawa hawana uhakika wa afya zao, hawana uhakika wa akiba zao, wala elimu za watoto wao.
Watawala wana yote hayo na ziada kubwa.
Nawasilisha.
Dr. Chris Cyrilo.
Sir we are loosing our Military Force, It was for Peoples Defence Force but now turned to threatening civilians and defending thugs and criminals.
Time to act.
Kuna nchi badala ya kuwa na USALAMA WA TAIFA wana USALAMA WA RAIS!
Ndo maana mtu akimsema Rais anatekwa
Wako busy kulinda uchafu wa Rais badala ya kulinda maslahi ya nchi ILA MALAWI 😎😁
We salute our counterparts in Tanzania — Tundu Lissu’s local counsel — who face immense personal risk every day to stand up for justice and the people of Tanzania. #NoReformsNoElection
Never misses a chance to bash & demonize Tz diaspora
I've never understood this hate against diasporas! Some of the most selfless and patriotic folks out there
Coming from the worst finance minister in the history of MoF. This chap should never come anywhere near Presidency
@rose_mayemba Mh @freemanmbowetz angekuwa mshamba wa kushambulia historia na background za watu kwa kuwadhihaki wakati anaijenga CDM, msingeikuta cdm mnayotamba nayo na kudharau wengine ambao walitumia zaidi ya miaka 20 kuijenga. Kuweni na akiba ya maneno.
@rose_mayemba Remember, those who cheer for you now will mock you at some point.
Hizo nafasi mnazopata ni temporary sana msipandishe mabega na si kila jambo linahitaji ushindani
DC Alberto Msando alikuwa sehemu ya harakati. Kauli yake dhdid ya Gwajima imenisikitisha. Nimesikia kauli yake hasa pale anaposema "Si unasema unatetea haki wewe, sasa jitokeze, kwa nini unajificha?". Kauli imejaa jeuri ya madaraka. Ninamsihi Ndugu yangu Msando, madaraka huja na kuondoka, asimalize maneno!