Dada acha kumdharau mwanaume wako kwa jeuri yako kwamba ety unatongozwa sana akikuacha hata leo unapata mwingine. kumbuka sio kila mwanaume anayekutongoza anataka kujenga maisha na wewe wengine wanataka kujenga ngono tu na wewe. mpende mwenye nia yakujenga maisha na wewe!
Wapwa wale umemaliza Chuo, au secondary kifupi ndio unaanza maisha huo ni muda mzuri wa kung’ang’ania mishe pambana kwa hela yote lakini ni muda mbaya sana wa kung’ang’ania pisi, itakuumiza ya hela yote... mpezi wako ataletwa na mafanikio yako usibishe komaa mpwa
#UNAAMBIWA Mrembo wa China Ms Zhao ametuma gari ipeleke zaidi ya Tani moja za vitunguu nyumbani kwa Mpenzi wake wa zamani (EX), akiambatanisha na ujumbe unaosomeka. “ulichepuka, nililia siku 3 kisa wewe, leo zamu yako kulia, haya maji ya vitunguu yakikutoa machozi nitaridhika”