Anaitwa Carlos Stelio Guimaraes Do Carmo
handsome boy wa kireno ๐ต๐น
Alitupatia goli pekee kwenye mchezo wetu wa leo baada ya kupokea pasi sukari kutoka kwa TK Master.
#VPL ๐ #TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyuma
Tuna wataarifu kuwa ndani ya Hospitali ya Taifa Muhimbili tuna mtoa huduma wa TIBA ASILI anaye uza dawa zilizo idhinishwa na Serikali.Upanga anapatikana karibu na Maabara Kuu, Mloganzila anapatikana Mapokezi Kuu.Mawasiliano yake ni 0628107828, 0652 015853.Healthy Living MUHIMBILI
Kikosi cha mabingwa wa kihistoria kimeendelea leo na mazoezini tayari kwa kujianda na michezo ya ligi kuu kwa mzunguko wa pili ๐๐๐ช
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
Kunywa bia na washikaji wanaofurahia uwepo wako hata kama huna kitu, kunywa bia na watu siku huna kitu utakuwa huru kunywa nao, kunywa bia na washikaji ambao wakikununulia bia kesho hawata tweet kukusimanga.