@hanipha_ Jamani acheni ushamba wenu hapo uchi uko wapi. Mnalaumu wakati mnaangalia , dada zenu wa tumbo moja wamewashindeni mnahangaika na watoto wa watu.
@RacqreyC Binti usifikirie kutengeneza utu ni kazi ndogo je was walozaliwa na mama zao wakatupwa vyooni ama jalalani ama popote hapo waliwalea miezi Tisa tumboni je wao watasema happy mother's day!
Afu umeona alikuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar anagombea urais kupitia ccm ,Sasa kwa picha hihi unadhanihawa wengine wenye time siyo makada wa ccm na unaonyesha Hadi vikao vya ndani vya chama wanaingiaga hao,Tanzania hii uchaguzi huru mtausikiaga tu kwenye bomba
@Mangiwakwanza Fikiria angekuwa Dem wako hapo ndo kapiga iyo picha na jamaa we ungecoment vipi? Au ndo wale mnaodanganywaga kuwa kimeingia geto Ila nimemgomea