Mabaharia.... Kipimo cha Umasikini Tunatambua kuanzia kwenye Roho yako..... Imagine Huwezi Wasaidia Hata Masela Wako.....Hiyo Milango ya Riziki Itafunguliiwaje?. Kama sio kwa ajili ya kukutosheleza wewe tuu..... π€ @ZizzouSule
Usimchukie Mtu aliyeshindwa kukusaidia katika shida yako ya sasa Huwezi jua labda Mwenyezi Mungu ametunza huo msaada kwa ajili ya siku zijazo ambapo utakuwa na shida kubwa zaidi na Msaada wa Huyo Mtu ndio ukawa unafaa zaidi Kwako
Kuwa Makini kwenye Hili @ZizzouSule
@eastafricatv Nikiwa na Party Huwa sipendi complications... Simply Kwanza nikiwa na 150,000/= let's say it's birthday party Hapo msosi na cake inatosha afu kuhusu codes ni za kabatini tuu