Kitu kizuri zaidi kutoka kwa Jonh Heche Bado kijana Mdogo atafanya kazi Katika mazingira yoyote Yale iwe mvua liwake jua,Tumpe heshima kwa kumpa retweet 1000
@bajabiri Zidumu fikra zako tunduizi mwenyekiti
Hiki Chama umekitumikia kwa Jasho umekua mstari wa mbele kupambania maslai ya Chama
Slogan yetu; bajabiri anatosha na atatuvusha