Kitendo cha mtawala kutumia kiasi kikubwa cha pesa kusukuma kete ya kuilazimisha CHADEMA kumpigia magoti ni ushahidi tosha wa nguvu ya msimamo wa CHADEMA.
Mpaka msiba wa mume umetumika kama turufu lakini haijasaidia.
Hata hiki KIHEREHERE CHA MAZUNGUMZO ni sehemu ya sarakasi za mtawala tu.
Amebanwa kila kona!!
Katika jamii yetu, ukikosea adhabu ni stahiki. Lakini MDUDE si tu kwamba ameadhibiwa, bali ameteswa isivyo kifani bila kosa. Tunatazamia mwanzo mpya, hatma yake, kwa shauku. #HakiKwaMdude
TANZIA
Kaka wa Mhe. Lissu, Wakili Alutte Mughway Lissu amefariki dunia leo alfajiri, pole nyingi kwa Mhe. Lissu, familia na ukoo wote wa kina Lissu.
Tunamuomba Mungu ampe pumziko la milele Mzee wetu Alutte Mughway Lissu🙏
Huyu ndo mwamba wa kweli - Simba wa Tanganyika! Mwanaharakati OG aliyeamua kuingia katika siasa kukomesha siasa za ulaghai na kupigania misingi imara!
Tundu Lissu ni tishio si tu kwa CCM bali hata wanasiasa madalali wa upinzani hasi ndani ya chama chake! Ni wajibu wetu kumpambania Lissu
Bado siku 5 #FreeTunduLissu - tusiruhusu akae ndani hata siku moja zaidi !
Hizi habari za ‘maridhiano’ mnaziokota kutoka wapi? Hii ni agenda ya nani? Maridhiano katika jambo gani? Maridhiano kati ya nani na nani? Maridhiano ya kweli ni wahusika wa mauaji ya raia wasiokuwa na hatia kuwajibika kwa kukiri, kuomba radhi na kushtakiwa. Naamini, bado hatujafikia viwango duni hivyo vya kufanya maridhiano katika dimbwi zito la damu.
1. Kiri umetenda kosa.
2. Omba msamaha na utubu kwa maana umeua damu zisizo na hatia.
3. Wajibika, hukumu wote waliotenda makosa (walioua ndugu zetu).
4. Futa kesi na fungulia wote wenye kesi za kisiasa.
5. Eleza uma waliotekwa wako wapi, kama wako hai warudishe, kama hawapo hai hukumu waliowatoa uhai.
6. Itisha maridhiano, yaambatane na tume huru, katiba mpya na mchakato wa uchaguzi upya!!
NA HAYO NDIO YATAKUWA MARIDHIANO YA KWELI NA HAKI
Mwenyekiti wetu TUNDU LISSU kakaza akiwa jela zaidi ya siku 600 leo tuwacheke hawa wanaotaka kunufaisha matumbo yao?
MWANAHARAKATI mwenzetu Lissu alituambia "Tutapitishwa njia ngumu" na tulikubaliana kwamba tupo TAYARI.
Leo WALAFI WACHACHE watuyumbishe kwa kigezo sijui "Tukilinde chama" sijui "Kosoa kistaarabu".
Hizi ni siasa za MCHAKA MCHAKA hakuna muda wa kubembelezana, ukileta USENGE tunakuchana.
#MAHOUTHI WAKO KWENYE PUMZI ZAO ZA MWISHO YEMEN💦📚
>>WANAKULA CHUMA CHA MOTO NA MOSHI MWEUSI KILA PANDE
🫴_WANAHARAKISHEA SAFARI YAO YA JAHANNAM WANAYOITAFUTA
#YemeniArmedForces
🚨 TAARIFA MPYA
🔺️ Saa ya mwisho inakaribia:
Wanajeshi 400,000 wameizingira mji mkuu wa Sana’a, wakisubiri amri ya kuingia mjini na kuyaondoa makundi ya wanamgambo wa Houthi ndani ya saa chache.
🔺️ Wahouthi wako katika pumzi zao za mwisho.
@_zack255@EsirEid@benhabib6@HabiibYahyaa@Matallahkhamis@GShio@Granitinho85459
Jaji; Sasa mshtakiwa atapewa nafasi kusema kidogo kuhusu hizo haki zake ambazo nimeshamueleza
Tundu Lissu: Waheshimiwa majaji baada ya kusikiliza uamuzi wa Mahakama napenda kuijulisha Mahakama ndiyo nitajitetea
Tundu Lissu; Nitajitetea mimi mwenyewe kama shahidi wa kwanza.
Na vile vile nitaita mashahidi ambao naomba Mahakama iwapelekee summons haraka
Shahidi wa kwanza ni SAMIA SULUHU HASSAN
Ndiyo Chief Executive wa serikali inayodaiwa kutishiwa
Kwa hiyo SAMIA SULUHU HASSAN popote alipo apelekewe summons haraka
Vile vile shahidi huyu ni mwenyekiti wa baraza la usalama.
Nataka nijue kama yeye na baraza lake wanajua kuhusu hilo tishio
Unakuta aliyeua ni askari wa kawaida kabisa Konstebo & Koplo.
Lakini huyu alipewa order na OCS
(Mkuu wa kituo cha polisi)
Huyu OCS kumbe na yeye alipewa order hiyo na OCD
(Mkuu wa polisi wa wilaya)
OCD nayeye alipewa order hiyo na RPC (Kamanda wa polisi wa mkoa)
maana ndio huripoti kwake na hupokea order kwake!!
RPC huyu kumbe agizo lilitoka juu kabisa kwa top manyota IGP
(Inspector General of Police)
IGP naye ambaye ndiye manyota wa hawa woootee👆 nayeye kumbe alipewa order na waziri wa mambo ya ndani!!
Waziri wa mambo ya ndani kikawaida anareport na kupokea order kutoka kwa AMIRI JESHI MKUU!!
Umeiona sasa hiyo chain yote hiyo👆
Kwahiyo hapo tunapotaka muuaji awajibike ambaye ndio yule Koplo kule juu!!
Akiguswa tu Koplo…..umetia kiberiti kibanda chote…..chain yote hiyo walete kati 🔒
Wasomi wanakwambia
Both the police officer who executed the order and the top leader who issued it can be held criminally responsible if the order results in an illegal act.📌
NDIO MAANA UWAJIBIKAJI UNAKUWA MGUMU SANA KUTEKELEZEKA!!
True. Samia amemuweka Tundu Lissu jela mwaka mzima ili amfanyie extortion na biashara nyingine za kisiasa! Lakini amekwama. Lissu sio politicalpreneur. Besides, Lissu atafakari nini, kuhusu nini, wakati mmemteuwa kuwa mhaini? Huo upumbavu uliishia kwa Freeman Mbowe!
Bros, Mdude Nyagali.
Deus Soka.
Shadrack Chaula.
Humphrey Polepole.
Mzee Ali Kibao.
Amani Manengelo.
Frank Mbise.
Dioniz Kipanya.
Daniel Chonchorio.
Jacob Mlay.
You aint forgotten, comrades.
Your liberty is paramount.
We cry out for Justice.
We need accountability.
Hili ni #ToneTone la Kutoka kitongoji Kashesha mpakani mwa Tanzania na Zambia wilayani Kalambo.
Wananchi wapo busy na #ToneTone mpaka tufikie lengo.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Vitol yuko na nani?
Nani wamempa tenda ambayo Watanzania wanauziwa mafuta kwa usd 200-260 wakati Uganda anauziwa usd 83 na Msumbiji anauziwa usd 90.
Hawa Namaro waliosajiliwa Dubai mwaka 2023 ni kina nani? Wana uhusiano gani na wizi huu mkubwa unaoumiza Watanzania.
Vyombo vya habari Tanzania kwanini hamfuatilii na kuandika huu ujambazi unaongamiza Nchi kwenye wizi wa mafuta..
TPDC kwanini hawakutoa tenda shindanishi katika suala kubwa kama hili la mafuta.