Nimerudi nyumbani leo saa 12 asbh, nimemwambia mke wangu kuwa,
Nimelala kwa rafiki yangu,amewapigia rafiki zangu 10,
6 wamesema nililala kwao,
Hawa wengine Wanne wameapa kwamba bado nipo, nimelala nakoroma ๐๐๐๐๐๐
Unaona kipindi unasoma ulikua unaona aibu mzazi wako akija shule na nguo zimechakaa? Sasa hivi huyo mzazi ndio wewe. Mtoto wako nae anaona aibu ukienda shuleni kwao akiwa na wenzake
Kipindi naishi kwa Wazazi, niliwahi kamatwa bar saa 7 za usiku na Doria.
Baba yangu aliwahonga Polisi waniweke lock-up siku 5. Mama alikuja kunitoa siku ya pili๐๐๐๐ญ