TAARIFA YA KUTEKWA KWA KIJANA RAMA AU RAMSO MANZESE, ATAPELIWA KWA KISINGIZIO CHA KUFANYA MATANGAZO
Kijana anayetambulika kwa jina la Rama au Ramso anadaiwa kutekwa siku ya Ijumaa jioni katika eneo la Manzese, Dar es Salaam, baada ya kuitwa kwa kisingizio cha kufanya matangazo ya duka la nguo.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa, kijana huyo alipigiwa simu na mtu aliyemweleza kuwa amefungua duka la nguo eneo la Manzese na alihitaji amfanyie matangazo matatu, kwa malipo ya shilingi 100,000.
Inadaiwa kuwa majira ya mchana, mtu huyo alifika kwa kutumia pikipiki na kumchukua kijana huyo. Hata hivyo, Rama au Ramso hakuwa peke yake, kwani aliambatana na rafiki yake.
Walipofika eneo la Manzese, inadaiwa walikuta gari lililokuwa limeegeshwa katika kichochoro. Watu kadhaa waliteremka kutoka kwenye gari hilo na kuanza kumpiga kijana huyo kabla ya kuondoka naye kwa nguvu.
Rafiki yake aliachwa eneo la tukio na hakuchukuliwa pamoja naye. Baadaye, rafiki huyo alirudi walikokuwa wakifanyia kazi na kutoa taarifa kuhusu tukio hilo.
HADI SASA, HAKUNA TAARIFA ZAIDI ZILIZOTHIBITISHWA KUHUSU ALIKO KIJANA HUYO.
Tukio hili linaibua maswali kuhusu usalama wa raia na linahitaji uchunguzi wa kina ili kubaini kilichotokea, waliohusika na mahali alipo kijana huyo.
TUSAIDIANE KUPAZA SAUTI. RAMA AU RAMSO YUKO WAPI?
@Rydx_017 Mange siyo adui wa CCM mange ni adui wa mtu yeyote anayetoka nje ya msitari hata awe Chadema,, that's why tunamsapot... hilo suala la kisema ety kisa tuichukiaaCCM ndo maana tunampendaa mange,,,
Umejitungiaa wew
Eti huyu ni mbunge!!! Ukisema huyu ana akili ya ng’ombe utakua umekosea wapi?
Yaani hajui kwamba bila katiba hakuna bunge na kama hakuna bunge hakuna ubunge?
Yaani tukiwa na Nchi ambayo haina Katiba si kila eneo litakua na utaratibu wake wa kujiongoza.
Maongezi yangu na mmoja wa wanaharakati this morning……
Nawaomba wana harakati msi entertain any thoughts za kuvunjika moyo na kuacha harakati….
Your country needs you now more than ever…. KEEP FIGHTING…..
Kuna TAARIFA kuwa Samia ANAELEKEA KUFA siku sio nyingi (YUPO HOI).
Kama umekuwa unafuatilia page ya SHANGAZI @MariaSTsehai kama week sasa amekuwa akisema sana MBONA haoneoani huyo mjane?
Jana ilikuwa 40 ya MUME wake huko Zanzibar, kwenye picha zote hajaoneoana kabisa, wanaonekana "Wake wenza tuu" na ABDULI takataka zake.
Leo PAGE ya MASISIEMU imepost video ya SAMIA ya zamani kama kutuliza PRESHA za wananchi kuendelea kuhoji yupo wapi huyu MALAYA?
Hii taarifa ni njema SANA binafsi nilitamani niambiwe KAFA kabisa nichome nyama ya MBUZI MZIMA bila sababu leo jumapili ya "Choma choma"😂
REPOST 200
WE ARE HIRING/ NAFASI ZA AJIRA.
YOU HAVE TO BE LOCATED IN AFRICA.
1. Producer
We are looking for an experienced producer who can help develop, coordinate, and execute the podcast from production through publication.
2. Political Adviser -African Affairs
We are looking for someone with extensive experience and deep knowledge of African politics.
This person’s role will be to continuously monitor political developments across the continent, identify important emerging issues, research major stories, and advise me on which issues deserve our attention and coverage.
This is a position that requires someone who understands African politics, regional dynamics, governments, opposition movements, elections, international relations, and the political forces shaping the continent.
3. PROGRAM COORDINATOR
We are looking for a highly organized, technology-savvy and people-oriented Program Coordinator who will serve as the main liaison between the host and our guests.
Responsibilities include:
Coordinating guest schedules and ensuring they are fully prepared for each episode.
Helping guests set up and test their cameras, microphones, lighting, internet and other recording equipment.
Coordinating the topics and key issues to be discussed with each guest.
Making guests feel comfortable and answering any questions they may have before, during and after the show.
Ensuring smooth communication between the host and guests and helping resolve any technical or logistical issues.
Requirements:
Excellent communication and organizational skills.
Highly technology-savvy and comfortable troubleshooting basic technical issues.
Professional, calm and able to work with guests from different backgrounds and time zones.
Previous podcasting, broadcasting, television, radio or media experience is a major plus.
Send your Application- Through WhatsApp: +1 424 537 3057
Or email: [email protected]
KISWAHILI
1. MTAYARISHAJI WA PODCAST (PRODUCER)
Tunatafuta Mtayarishaji mwenye uzoefu atakayehusika katika kuandaa, kuratibu na kusimamia utekelezaji wa podcast, kuanzia hatua za maandalizi na uzalishaji hadi kuchapishwa na kusambazwa kwa vipindi.
2. MSHAURI WA SIASA – MASUALA YA AFRIKA
Tunatafuta mtu mwenye uzoefu mkubwa na uelewa wa kina kuhusu siasa za Afrika.
Mtu huyu atakuwa na jukumu la kufuatilia kwa karibu na kwa muda wote maendeleo ya kisiasa barani Afrika, kutambua masuala muhimu yanayojitokeza, kufanya utafiti kuhusu habari na matukio makubwa, na kunishauri ni masuala gani yanastahili kupewa kipaumbele na kujadiliwa kwenye podcast.
Hii ni nafasi inayohitaji mtu anayeelewa kwa kina siasa za Afrika, mienendo ya kisiasa na kikanda, serikali, vyama na harakati za upinzani, uchaguzi, mahusiano ya kimataifa, pamoja na nguvu na maslahi ya kisiasa yanayoendelea kuunda mustakabali wa bara la Afrika.
3. MRATIBU WA PROGRAMU (PROGRAM COORDINATOR)
Tunatafuta Mratibu wa Programu mwenye uwezo mkubwa wa kupanga na kuratibu mambo, anayeelewa vizuri teknolojia na anayejua kufanya kazi vizuri na watu, ambaye atakuwa kiungo kikuu kati yangu kama mtangazaji na wageni wetu.
Majukumu yatakuwa pamoja na:
Kuratibu ratiba za wageni na kuhakikisha wanaandaliwa kikamilifu kabla ya kila kipindi.
Kuwasaidia wageni kusanidi na kujaribu kamera, microphone, taa, internet na vifaa vingine vya kurekodi.
Kuratibu mada na masuala muhimu yatakayojadiliwa na kila mgeni.
Kuwafanya wageni wajisikie huru na kuwa tayari kujibu maswali au kuwasaidia kwa jambo lolote kabla, wakati na baada ya kipindi.
Kuhakikisha mawasiliano kati yangu na wageni yanaenda vizuri na kusaidia kutatua changamoto zozote za kiteknolojia au kiutendaji zinazoweza kujitokeza.
Sifa
Uwezo wa mawasiliano na kupanga/kupanga ratiba.
Uelewa mkubwa wa teknolojia na uwezo wa kutatua changamoto za kiufundi.
Uzoefu katika podcasting, broadcasting, televisheni, radio au tasnia ya habari utakuwa faida kubwa.
Tuma maombi whatsapp: + 1 424- 537-3057 au email : [email protected]
GENTLE REMINDER:* Tukutane nje ya Ubalozi, Washington, DC, October 23, 2026, 11:00AM.
We will hold a candlelight vigil in Washington, DC, at the *Tanzanian Embassy (Ubalozi wa Tanzania DC).*
Please save the date and share this message widely.
@Liberatus80#TanzaniaMassacre
Eti chama kimoja ambacho bado kinajitafuta.
Machawa wa wauwaji wanaita Chadema kusimamia matakwa ya wananchi kama kujitafuta.
Chadema ilijitafuta na kujipata mwaka jana baada ya kumchagua Lissu na Heche na kusimamia No reforms No elections mpaka mwisho……
@HecheJohn@ChademaTZ2 Please stand your ground. You are our last hope for Justice, New Constitution and Accountability….