@Nnauye_Nape@mndumii21 Sasa kama hautaki watu wasi kufollo umeingia mtandaoni kutafuta nini? Hii ndio nafasi ya kuwambieni ukweli kwamba mtaendelea kufanikiwa kwa BAO LA MKONO kwa maslahi ya njaa zenu hampo kwa ajili ya taifa waongoo ninyi.
@Chahali@MagufuliJP Labda nayo ni Siri ya nchi au Familia wamekataa au mwendelezo WA awam ya tano ya kukanyaga katiba kwa baadhi ya mambo hasa democrasia
@AsengaE @swahilitimes Ww haujui Mhe Mnyika, ila nikuambie Katibu mkuu ndio mtendaji mkuu WA Chama hivyo hata Hao wabunge wote wanalipot kwake kua mbunge Kuna weza kumvuluga katika utendaji wake ndio maana ameamua kubaki sehemu moja acha uongo wako
@NevilleMeena Mgandamizo WA vyombo vya Habari umewalazimu WAANDISHI wahariri kuandika anacho furahia mkuu but ndio anguko LA nchi yetu kwenye upatikanaji Habari na upashanaji habari
@MsigwaGerson Kule kigoma Kuna Meli ya Liemba ona umri WA Miaka zaidi ya 100 ipo tangu mkoloni huko nako Kuna walipa kodi wakiona hivi WA nasikia kama mna piga makelele tu, Yaani mmefanya kidogo Sana mnaongea utafikiri nchi ndo imepata uhuru hakuana kilicho wahi kufanyika
@TunduALissu@mudhakiru_dauda Umefanikiwa Sana kuiambia Dunia ukweli juu ya siasa za hovyo za awamu ya tano za kumshambulia wanasiasa WA upinzani, MUNGU akulinde na urudi nyumbani uendeleee na mapambano mm na kuunga mkono na nitakupa kula yangu.
@Captain255_ Hongera dear, ukifanikiwa kuingia bungeni Linda heshima ulo pewa sio vitisho vya dola na pesa za walipa Kodi vikuhamishe kuunga mkono juhudi.
@Nnauye_Nape@mahewa_chobanka@Glaige1 Tuko watz zaidi 50milion hatuwezi wote kwenda bungeni hata kama ni lahisi, tunahitaji wabunge kama TUNDU LISSU sio wajinga wajinga kama mlivyo wengi wa ccm, mmejawa na unafki (itaendelea kushinda kwa bao LA mkono)