Leo amezaliwa shangazi #Fatma_Karume nitumie ukurasa huu kukutakia maisha marefu yenye fanaka na furaha tele, kwani umekua mstari wa mbele kutetea haki za watu na maslahi ya katiba ya nchi, pia umetetea haki za wanawake mpaka leo umepewa heshima ya kuitwa shangazi, Mungu akulinde
URAIS TZ2020
Waliotangaza nia kupitia CHADEMA mpaka sasa.
1. Tundu Antiphas Lissu (MB)
2. Dr. Maryrose Majinge
3. Peter Simon Msigwa (MB)
4. Lazaro Samwel Nyalandu
5. Leonard Toja Manyama
CCM mpaka sasa wamechapisha fomu moja ya Jiwe.
#MARUFUKU@Twaha_Mwaipaya@VitusNkuna
@kigogo2014 Alafu me napendaga sana vijitu vinavyojifanya vinaongea hovyo kama huyu anaejiita sijui @Kigogo2014_ wanakuaga na MALINDA MATAMU SANA HAWA MBWA.
@kigogo2014 Kati ya wewe na DC Nani anatakiwa akunwe ...Tuliza Mshono Ushubwada wewe. Acha Mama apige kazi,Wewe Mwenye Muoga kama mjanja jitokeze alafu nipe kidude hicho peke angu uone ninavyokutoa MALINDA.