@rollymsouth Utafikir hawalijui hili...wanajua sana but wameshaona watanzania ni watu wa kuchezea chezea coz hawajawah react kw lolote
Wakat yeye akijilinganish na USA, mwenzak wa kenya anatafuta solution ya kudumu
๐Sifa Kuu ya MATAPELI
Kwa sasa teknolojia imefanya kupata pesa iwe rahisi sana, lakini kupoteza ni rahisi zaidi ๐.
Kutapeliwa ni dakika 0.
Kila unapogusa mtandaoni sasa hivi kuna haya maneno NFT, Cryptocurrency, Bitcoin.
Lengo ni PESA.