Mkulima akikusimulia story halisi za shambani, ndio utagundua kilimo sio "Get rich quick scheme"
A lot of hard work needed to get good results.
Wakulima wanapambna sana kwa ground...
@petermsanza@FKihamu nakubaliana nawewe , Mimi mshabiki wa yanga, JKT walicheza vizuri sana jana, lakini ikiwa siku watafanikiwa Kwenda kimataifa wacheze strong pia. Na ligi kuu wakaze pia sio ubingwa uwe wa team mbili tu, ambapo Azam aliwahi kuchukua mara moja
@FKihamu Kama nimekuelewa , shida ni kupata wawekezaji wenye mitaji ya uhakika, (uongozi) Vilabu visiwe na uongozi wenye uyanga&usimba, wawe serious kabisa. Kitaifa na kimataifa, wafanye sajili zenye nguvu na sio kuchukua veterans.
@PresenterNoah Tomatoes sauce,mikate,viazi,ulaya mihogo,nafaka, red meat &white meat,beer, soft drinks & spirit, zingine zipo Ila sizifamu wengine wata share👍??
@Seifdady@iammpemba Unajua nimecheka sana, sio kwa ndgu yangu zimbwe, Ila mtoa habari, kuna watu Wana malengo Yao.. si Kila mtu ni swala la outfit na shining za hapa na pale, wengine simple cars Ila mipango ya maana ni Siri kwao.
@Chizzodrama Huwa namsikiliza Oliva mutukuzi, nikisikiliza drums, guitar etc+ sauti yake ... Kuna mahali akili na moyo zinasema huu ndio muziki. Tofauti na hapo... Ni music tu na shangwe baaasi😂😂😂