Nguvu Ya Maamuzi
Tambua maamuzi yote unayafanya kila dakika yana nguvu ya kusogeza kwenye mafanikio au kukurudisha nyuma kimafanikio.
Tambua maamuzi yote unayoyafanya kila dakika yana nguvu ya kukufungulia milango ya baraka au kuifunga milango ya baraka.
@Awarnessconnect
Ghafla una miaka 25. Unaamka asubuhi, unatengeneza chai yako, unajiandaa kwenda kazini. Unarudi nyumbani saa 12 au saa 1 jioni, umechoka kiasi kwamba unachoweza ni kupika kidogo, kuchezea simu, halafu kulala. Kesho unaamka, unarudia tena mzunguko ule ule.
THREAD ๐งต