Mliosikiliza Bunge la Umajoa wa Ulaya leo,Nasikia wamenitaja huko
"eg.BONIFACE JACOB OF UBUNGO..Elected But Not Announced"
Daaaaahhhhh Watakuwa wamemaindi Sana washua.
Kwa wale wanaofuatilia. Huu ndio Mkataba kati ya Tanzania na EU kuhusu misaada.Ulisainiwa na aliyekuwa Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum June 2014. Jumla ya Msaada ni Euro Milioni 626 (1.6T Sh). Unaisha Juni 2020 na EU ‘wamesema�� hawatoi tena mpaka waone demokrasia inarudi nchini
I have lost a great friend and the rock of my life! The man who tought me bravely and fearlessness has departed to meet his ancestors!!
I still hears your words when we talked last week. You said " i will die happily for raising a man NOT a boy"
Go easy my friend ,RIP Dad!!!..
Ahsante sana Ubalozi wa Marekani kwa tahadhari, lakini mnavyosema Monitor local media for breaking events, what local media are you talking about?
Hakuna vyombo vya habari nchini Tanzania vitakavyo ripoti au vitaripoti kuhusiana na violance , Vyombo vya habari vimeminywa .
Msimamo wangu kuhusu Maridhiano ya Kitaifa;
1.Kuwaachia/Kuwafutia kesi Viongozi na Wanachama wa vyama vya upinzani waliyopewa kesi za uongo pamoja na wataka mabadiliko wote bila masharti.
2.Kurudiwa Uchaguzi
3.Tume Huru ya Uchaguzi
Haya ndiyo Maswala muhimu ya Umoja wa Kitaifa.
Nafasi za Viti Maalu vya Chadema wapewe wafuatao
1.Afande Siro
2.Afamde Mambo sasa
3.Diwani Athuman
4.OCD Hai
5.DSO Tarime
6.OCD Ifakara
7.OCD chato
9.OCD karate
10.RSO Kilimanjaro
11.RPC Mara
12.OCD Mbeya mjini
13. OCD Tunduma
14. RPC Shinyanga
15.NEC-MAHERA
16.Jaji Kaijage
Nafikiri mapambano yameanza sasa uwanja wa vita nikuubadilisha kdg tu...dunia ijue..ambao hawajui Historia vizuri mapambano yanayofanywa nje yananguvu zaidi na uleta mapinduzi haraka zaidi
Kati ya wagombea wote wa Chadema kwenye majimbo 60 walikua wanawake na kati ya hao zaidi ya 45 wameshinda uchaguzi wakaporwa na vyombo vya dola. Kama ndugai ana huruma nao mbona hakukemea kitendo kilochokua kinafanywa na tume ya ccm na vyombo vya dola kufanikisha wizi huo.
Kwenye nafasi 10 za Ubunge alizonazo Rais wa Mataga, itakuwa vema akiwateua wanajeshi wa Rwanda aliowakodisha kwa ajili ya kuwaua wanachama na Viongozi wa ACT Zanzibar, awateue Mapolisi na JKT waliosaidia kuingiza kura feki kwenye vituo pia amteue Lipumba, Mbatia na akina Cheyo.
Makamu mwenyekiti wa @ChademaTz Tanzania bara Mhe. @TunduALissu amepewa kibali na jumuiya ya Ulaya (EU), kuhutubia katika Bunge la Ulaya.
Mhe. Lissu atatumia fursa hiyo kuelezea hali ya kisiasa na demokrasia nchini Tanzania.