“It’s okay to be sad right now. Overwhelmed with uncertainty. Stressed. Anxious. Lazy. Unmotivated. Whatever you’re feeling is alright. Let yourself feel it. It will pass. Things will get better”
Leo ni siku ya Afya Duniani | #WorldHealthDay
🔵Tukumbuke bila afya njema hamna shughuri za kijamii wala kiuchumi zinazofanyika
🔵 Uwekezaji wa kwanza kwa Binadamu uwe ni kuboresha na kulinda afya ya mtu binafsi, familia na jamii kwa ujumla
Kwa kila mtoto, Kila haki! Tukiwa katika kilele cha #CRC30 nipate tu kuwajuza kanuni mbalimbali zilizomo ndani ya Mkataba wa haki za mtoto. Tuiangazie kanuni namba mbili: Kutobaguliwa | @UNICEFTanzania#GoBlue | #CRC30 | #WorldChildrensDay
"Mama akiwezeshwa katika miradi, akapata elimu ndoa za utotoni zinaweza kukomeshwa katika familia yake kwanza na jamii kwa ujumla. Lakini pia miradi mbalimbali ya ujasiriamali katika kaya na jamii inaweza ikawa hatua muhimu ya kutokomeza ndoa za utotoni Tanzania." @Plan_tanzania