Habari Kuu
1. Nyota ya Samia yaendelea kung'aa
2. Mwigulu asisitiza maadili, uwajibikaji mhimili Dira ya 2050
3.Maridhiano yamefungua ukurasa mpya Z'bar-Duni
4.'CCM hakuna mwanachama aliyejuu ya Chama'
5.Rais Dkt. Mwinyi kushiriki Mkutano wa NAM leo
Free @MalisaGJ_ Tanzania haki ya kuishi binadamu inatolewa kwa hisani wenye mamlaka mtu kama huyu alikuwa kwenye ofsi za uhamiaji gafla anakuja kuchukuliwa, bila utaratibu kujulisha ndugu zake na walio mchukua wanakaa kimya vipi kama, vile hamna kutu ndugu tumefikaje hapa.
Tanzania inangโaa! ๐น๐ฟ
Leo tunashuhudia tunda la uvumilivu na uongozi thabiti wa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan. Mradi mkubwa wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) wa megawati 2,115 ulizinduliwa rasmi โ umeme wa ziada, fursa za viwanda, na Tanzania ikijiandaa hata kusafirisha umeme nje.Kutoka Rais wa kwanza mwanamke, hadi kiongozi anayekamilisha miradi mikubwa ya taifa. Kazi inaendelea, nchi inaendelea.
Hongera Mama Rais. Tanzania inasonga mbele.
Kijana mzalendo wa Tanganyika โ๐ฝ
Desudedith Soka was ahead of his peers! He knew that in order to get real change we need a new Constitution and restore Tanganyika!
It will be well ๐๐ฝ
#RestoreTanganyika#KatibaMpya#FreeDeusdedithSoka
โค๏ธ Deusdedith Soka
Two years since his abduction and I will never stop praying for you!
We ni kijana mzalendo na shupavu! Ulipigwa vita na magenge yote ya kifedhuli si polisi tu hata genge la Mbowe! Lakini ulisimama imara hadi siku wanakuteka! Kuna siku tutaongea mengi na kujikumbusha yote uliyotusimulia kuhusu manyanyaso yako ila kwa sasa tunakupambania hadi tujue hatma yako
Hatutachoka kukudai ๐๐ฝ๐ฅ
#FreeDeusdedithSoka
#FreeAllPoliticalPrisonersInTanzania