🛑 Inawezekana ikawa mechi Bora zaidi ya kushambuliana (TOE TO TOE) kuwahi kupigwa BenjamIn Mkapa
Simba SC 2 As Vita 1
Mechi iiyowaunganisha mashabiki Yanga na Simba hasa Bao la pili la Mwamba CCC
@abissay_stephen vp unahesabu nafasi anazotengeneza afu wachezaji wenzake wanamuangusha mfano kapiga pass nzuri kwa chama akataka afunge kwa kisigino vp kuhusu nafasi aliyoitengeneza kwa chasambi…huyu Libasse kila game huwa anacreate nafasi ni vile simba mbele miyeyusho sana