@Mgagagigikoko_J@HildaNewton21 Kwamba ata fojari za documents nayo ni sawa? Haya Malaika wa bwana,,, uzur sisi wote ni wa Mungu na kwake tutarejea,, haijalishi ninan na unanini
@I_like_TZ@PatricOleSosopi Pumua kidogo,, unakumbuka ile ya Mbowe ni gaidi ushahid ulivyo kuwa, alafu baada ya kutoka Gaidi akaenda Ikulu. Endelea kupumua sasa