Bara la Afrika linatoa ushuhuda mkubwa kwa ulimwengu mzima. Asante kwa kuishi imani yenu katika Yesu Kristo. Ni jinsi gani ilivyo muhimu kwamba kila mbatizwa ajisikie kuitwa na Mungu kuwa ishara ya matumaini katika Ulimwengu wa leo.
Acheni kudanganya umma, tuliokuwa "team Mbowe" wala haitugharimu kwa namna yoyote katika utekelezaji wa majukumu yetu kama viongozi au ushiriki wetu kama wanachama. Mfano mzuri ni mimi nilikua supporter wa Mhe. Mbowe kindakindaki ila mpaka leo sijawahi kutoshirikishwa au kubaguliwa na wanachama wenzagu ambao tulitofautiana mtazamo kwenye uchaguzi. Msihalalishe sababu zenu binafsi za kusaliti mapambano kwa kusema uongo, semeni ukweli mmeamua kuzingatia maslahi yenu binafsi badala ya maslahi ya walio wengi/wananchi.
Tafadhali mwimbaji mkuu wimbo huu awasiliane nami.
Nimesikiliza nyimbo tatu mpaka sasa za #NoReformsNoElection lakini kwangu huu mpaka sasa ni wimbo bora kuliko zote.
https://t.co/w2mzejrnQo
Ikiwa kuna wimbo mwingine wa #NoReformsNoElection naomba link yake iwekwe hapa pia.
Nishukuru wasanii wote mnaotumia nguvu ya sanaa anuai katika mapambano ya kuhakikisha #BilaMabadilikoHakunaUchaguzi .
Zaidi ya nyimbo ni kazi ipi ya sanaa imekuvutia zaidi kwa namna ilivyofikisha ujumbe wa mabadiliko na haki mintaarafu kuwezesha #Tanzania inakuwa na uchaguzi huru na haki?
"Nilichaguliwa bila mastahili yangu. Sasa, kwa hofu na kutetemeka, ninakuja kwenu kama ndugu, ambaye anatamani kuwa mtumishi wa imani yenu na furaha, nikitembea nanyi katika njia ya upendo wa Mungu, kwa kuwa anataka sisi sote tuungane katika familia moja."
- Papa Leo XIV
"Mimi Clement,, one day nili ongea na mmoja wa wabunge 19
"Nika mwambia Dada siurudi? Akanijibu, nirudi wapi mbona niko CDM?
"Nika mwambia,, we fuata tu utaratibu, useme umefikaje bungeni.
"Akanijibu,, mtaweza kuvumilia? Mko tayari tuka kiache chama uchi?
CDM lilikuwa duka🙌
Sekretarieti ya zamani ya Chama ndiyo iliyohusika katika kuipika na kuiandaa agenda ya #NoReformsNoElection wakaipeleka Kamati Kuu, ikapitishwa na kupelekwa Baraza Kuu, ikapitishwa na kisha kupelekwa Mkutano Mkuu na ikapitishwa kuwa agenda ya Chama na uongozi wa sasa wameipokea kwa utekelezaji.
Leo wanapinga agenda waliyoiasisi wenyewe.
Tukubaliane huu ni MRADI, MRADI, MRADI.
CDM leo:
NKM Bara ametekwa airport, kazuiwa kusafiri.
Msajili ametengua uteuzi wa wajumbe Kamati Kuu.
Makamu M/Kiti, KM & co wako field.
Bawacha wamewakana sellouts wanaoelekea Chauma.
Mdude, Soka & co hawajapatikana.
M/Kiti yuko jela.
They Not Like Us!✌️
Kanisa Takatifu Katoliki la mitume limetimiza wajibu wa kitume. Amani ya bwana iwe nanyi baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC) na maaskofu wote 40. Sauti ya wananchi ni sauti ya Mungu. Kanisa katoliki limegoma kuwa wapambe wa serikali katika kuharibu demokrasia ya nchi yetu
Standing in solidarity with comrade @TunduALissu following his violent arrest in Tanzania yesterday. We must fight together for good governance, so that we eventually win together as a people!
#FreeTunduLissu