Watch Tanzania inakualika kushiriki mkutano maalum (kwa Zoom) utakaofanyika Agosti 10, 2022 (Jumatano) kuanzia saa 5:00 asubuhi hadi saa 7:30 mchana
MADA
Kukua kwa diplomasia ya uchumi na fursa za kiuchumi zinazopatikana bara la Ulaya
Wakati Adv. John Mallya amewasha moto mahakamani alisema "Mheshimiwa Jaji, wanachukia kuitwa WAONGO wakati wao wanaita wenzao MAGAIDI".. Hii ilimfanya Jaji aseme zitumike lugha moderate. Mawakili wa serikali wakatuliaaa, Mmoja (Hilla) ndiyo ikabidi amke. Hii iingie kwenye hansard
Mallya: Kwa kuwa hiki kilichopo leo sicho tulichopewa kwenye Kitita cha nyaraka kwenye hatua ya Commital, na mtu ambaye hasemi ukweli anaitwa MUONGO..
Jaji: na mimi najua kweli anaitwa MUONGO, lakini Kwa Mahakamani tumia lugha ambayo haitowaudhi basi..
Fredrick Kihwelo:
1. Mshitakiwa Wa tatu hakawahi Kuwa Katika Kituo cha Polisi Mjini Kati Dar es Salaam kwa tarehe tajwa wakati wa Kurekodi Maelezo 07 August 2020 au Tarehe yoyote ile
Jaji Tiganga amekubaliana na upande wa utetezi kwamba ni kweli hiyo sheria iliyotumiwa na mashtaka haipo, lakini akatupa pingamizi lao kwa sababu tu hawajaonyesha wanaathirika vipi. Kwa hiyo hata kama sheria imekiukwa lakini hujasema unavyoathirika si tatizo? Inasikitisha!
@TonyJo01@IamLyenda@moodewji@mwigulunchemba1 Ili Mtu aweze kuitwa Bilionea lazima awe na 1 bn $,hapo ameshatoa madeni yote.Hii ndiyo kimataifa inafahamika hivyo.Sasa kwa hapa TZ wenye kiwango hicho hawafiki 10.
@gentleman6441 @maoniyawananchi Hoja yako haiakisi ukweli.Mbona kwenye kupima damu wanakutoboa kidogo tu kidoleni na wala hawachukui madebe ya damu ili kujua kama una UKIMWI au huna?.
Au walimdanganya au alijiongoza vibaya? Anasema Kesi ya Freeman Mbowe ilifunguliwa September 2020, wakati Kingai na wenzake wanasema kesi ilifunguliwa August 2020. Anasema wengine katika kesi hiyo wamehukumiwa tayari na wanatumikia vifungo. Hii kauli nikiikumbuka naumia sana.
Kibatala: Ulishawahi wewe au wenzio kwa kesi hii kuwa na voice records za Mbowe au kuagiza zikachukuliwe kwenye makampuni ya simu?
Shahidi: Hapana sijawahi
Kibatala: Unafahamu au hufahamu kwamba ukisoma pamoja kifungu cha 23 cha CPA pamoja na PGO, arresting person ndiyo anapaswa kufanya search, Je unafahamu hilo?
Shahidi: Siyo lazima
Kibatala: Kwa ruhusa ya Mahakama nakuonyesha PGO 357(2) nakuletea
Shahidi: KAA NAYO TU, SOMA TU
Kibatala: Muda huu tunapo ongea yupo Ofisini?
Shahidi: Sifahamu sababu siwasiliani naye siku nyingi
Kibatala: Unajua tukio lake la kusimamia kumuwekea Mzee wa watu meno ya tembo
Shahidi: Nafahamu
Kibatala: Je ulimfahamisha huyu aliyetaka kudhuriwa Sabaya
Shahidi: Sijamwambia