#HipHopFamily hii ndo freestyle ukichambua bar's na rhymes huwezi kuficha sura by @dizastavina 🙏🏿
Huyu BIBO climax ukichambua bars anaficha sura🙂↔️
Mashabiki wa B njooni na ushahidi labda nitaelewa
Asante Haidary Scoda Mexicana lacavela
But 👇🏿
#TunaPostHipHopTu ✊🏿👮🏿♂️
"Mimi nilikuwa mbunge nilikuwa na hawa watu bungeni nikitaka kujipendekeza leo nanyayua simu Rais mimi Heche naomba uandae kikao cha kunipokea, kesho atanipokea nitakuwa Waziri au mbunge, na nikijipendekeza sitakuwa mwana CCM wa kuvaa vile vinguo vya mtelezo nitakuwa navaa yale mazito zito wanayoyavaaga wao, lakini tumekataa kwa sababu nchi hii isipokuwa na sauti ya pili itapelekwa shimoni," - @HecheJohn
#CHADEMAShinyanga
#EastAfricaTV
Benki ya CRDB inajenga shule ya Secondary ya CRDB yenye madarasa 16, kama sehemu ya kutoa mchango wake kwa jamii. Hili linakuja wakati benki hii inatimiza miaka 30, tena shule hii itakuwa ya kisasa sana pia itakuwa na viwanja bora vya michezo kama football, Basketball na Netball