@goldenmvrs nimefuatilia watu wanavyojibu swali lako, nimegundua kwamba ,kama ingekua ni mtihani ,wote wangekua wamefeli,,,point ya swali ni "muda" lakini watu wanajibu kupitia "who's the best " kitu ambacho hawajaulizwa ,,alaf mnasema twitter kuna wasomi?? 🫵,,
me: ntamsikiliza vina 24/ 7