@Allysalimu_ Safi kijana umejitahidi kwenye penalt jitaidi sana pia ndani ya uwanja...panga mabeki wako vizuri Hakikisha ugonjwa wako wa kutematema mipira ovyo unautibu na kuacha mwisho kabisa acha mbwembwe kabisa unapokuwa uwanjani especially golini,
@NikkiZohan@shaffihdauda1 Wanafunzi/presenter wa sasa wanafaulu kwa msaada wa Google! Hawaingi maktaba na Tanzania Technology imechelewa! Mc's wengi wa zamani hawakuwa na website ilo ni tatizo .search afro rein, weusi wagumu asilia,The diplomats,kibo flavour, niggaz 2 public,The underground so hakuna