๐ฅAnicet Oura offensive threat inaipa Simba SC stability kiulinzi kwani anawalazimisha wapinzani RB,RW,DM sometimes RCB kucheza chini kwa tahadhali ya kutoruhusu spaces kufunguka
Kibabage anakuwa free kucheza eneo la juu na kufanya movements nyingi kuelekea eneo la mpinzani
"Simba fans, thank you. From the moment I arrived, when the team announced me, I felt so much love."
"I've never felt this much love in my career. That's why I say I've got this connection with them."
Rushine De Reuck.
Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya! ๐โจ
Tunawashukuru sana kwa kuendelea kutuamini katika huduma za bima. Tunawatakia afya njema, mafanikio na usalama katika mwaka mpya.
Asanteni kwa kuwa sehemu ya familia yetu.