Mungu nifundishe kusubiri bila kulalamika na kuamini bila kuona.
Niondolee husda,kulinganisha na hofu ya kuchelewa.
Nipe bidii ya kujenga maisha yangu,na subira ya kusubiri wakati wako,Nisaidie kushangilia mafanikio ya wengine bila kusahau nawe una mpango kwa ajili yangu.
Amina.
REPOST REPOST
Mwenye No. +255715500899
Amepoteza begi dogo la mgongoni leo maeneo ya Fire/Kariakoo. Ndani kulikuwa na Laptop, simu 1 aina ya Samsung S9, nakala zenye majina yake (SAMSON MISINZO) na Flash Disk moja.
Atakayesaidia kupatikana atapatiwa Tshs 350,000/= kama zawadi.
@salim_alkhasas Nadhani nia ya swali la salim sio madenge akamatwe. Nadhani nia yake ni comparison but comparing them and showing kuwa madenge ana influence kwenye NRNE kuliko Jeff. But madenge haja kamatwa. Meaning Jeff amekamatwa kwa mambo yake na sio NRNE. I stand to be corrected
Mimi nadhani kama wewe ni mtu wa dini fulani kuwa balozi mzuri wa dini yako jamii ivutiwe na wewe na watakufata au kuheshimu dini yako zaidi kuliko kuwa mkosoaji wa dini na tabia za wenzako huku wewe ukiwa hufanyi mazuri yanayoonekana.