Ijue siku ya hatima ama fateful day, hii ni siku ambayo itabadilisha kabisa maisha yako.
Inawezi kuwa siku ambayo utashinda jackpot, kupoteza kiasi kikubwa cha pesa au kupoteza maisha.
Ni moja ya siku ngumu sana kwenye maisha ya mwanadamu.
Kila mtu ataipitia!
Soma Zaidi:๐๐
Wiki ya nenda kwa Usalama #EndeshaSalamaUfikeSalama tupo hapa Dodoma na Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
TAARIFA!! TAARIFA!! TAARIFA!!
Taarifa niliyoisikia toka kwa Dr. SLAA (amesema akiwa public) ni kwamba amepewa taarifa na watu wema kuwa AMRI imetolewa ya Ndg. SOKA kuuawa usiku wa leo (kabla ya saa 8) kwenye moja ya misitu nje kidogo ya DSM. Amesema, jopo la kutekeleza mkakati huo linaongozwa na ZCO.
Hii ni taarifa ambayo siwezi kuikalia kimya ili kuepuka yaliyotokea kwa ndugu yetu SATIVA โ hata kama haitakuwa ya UHAKIKA, lakini ni bora kuchukua HATUA kuliko KUJUTA hapo baadae.
Natoa wito kwa CHADEMA & Viongozi wake wafuatilie hili suala haraka iwezekanavyo.
Dr. Slaa ana taarifa zaidi wamtafute now.
#Emergency ๐ค
@MariaSTsehai@DEUSDEDITHSOKA@SuluhuSamia Maumivu ninayohisi ni makali sana Eh Mungu naomba usiruhusu haya kutokea, Mungu wangu wewe ndiye pekee tunakutumaini, naomba utufunike kwa pendo lako, baba zuia na kukomesha haya maumivu