@IAMartin_@Nnauye_Nape@SuluhuSamia@Starlink Kupata jina Brela haimaanishi unakuwa na nyaraka zote za kuwa timilifu kufanya kazi TZ! Jina ni kitu kingine na kuanza kufanya kazi ni kitu kingine.
Bwana Ujugu kuna Raha gani kulala ghorofani kama kuna Watanzania wenzetu wanalala vyumba vya kuhifadhia maiti...?
Nina machaguo mawili tu,
1.Niamue kulala ghorofani kimya wenzangu walale vyumba vya kuhifadhia maiti,watekwe na kupotezwa Kisha na mimi yaje kunikuta kesho.
Au
2.Niamue kutolala ghorofani nikalale mahabasu, nikazuie mauaji,utekaji na watu kupotezwa ili mimi na wanangu tuwe salama kesho.
Nimechagua chaguo la pili, la kulala Jela ili wote muwe salama.
Umetumia akili kubwa sana kutonitaja maana ningekufungulia kesi ili huu uwongo na mzaha wa kulihusisha jina langu na mambo ya zinaa ukome!
Uzuri, bungeni huwa kuna hansards, na zipo online, tafuteni kumbukumbu rasmi muone.