Degree unazoweza kusoma YouTube for FREE na zikakukomboa for a lifetime
-Artificial Intelligence & Machine Learning
-Digital Marketing, UX/UI & Creative Tech
-Financial Technology (FinTech) & Blockchain
-Cybersecurity & Ethical Hacking
-Biotechnology & Genetic Engineering
Mwaka mmoja niliamua kuwa serious na maisha yangu.
Nilianza kupanga muda, nikapunguza marafiki, nikaacha mambo ya starehe.
Baada ya miezi michache nikaanza kuambiwa , Umebadilika sana, Unajifanya upo busy, Usiwe serious sana.
Nikajua sasa niko kwenye njia sahihi.
@NurdinMassanja@HilmiHilal88 Siwez kushangaa mzee..... Nilishawao ona gar kama iyo pale kimara kibo imesimamiswha na traffic kisa amepita mwendokas jamaa akasuka na akawaonesha plate namba za STL lakin iliyofungwa ilikuw aina soma T***AH* na gar ilikuwa ni. Kama iyo ya mwaka wa mbele...
Time to bring this back ๐๐ผ
Tusali, tuamini, na tufanye maamuzi sahihi.
Ukiumwa nenda hospital, unakwamishwa na ulevi na ngono badilika.
Una watoto somesha vizuri.
Proper Decisions, is key.
@GillsaInt Kama haupend kujitoa out bas hakikisha unanunua kitu chochote kwa ajili yako mwenye..... Kila mwezi huwaga nanua kiatu na shat zangu mbili kama kujipongeza.. Majukumu ya familia hayaishi๐คฃ๐คฃ
Pitching about #MualikoApp A Digital Invitation platform for events like Weddings, Kitchen Parties, Birthday Parties and others .
Plan your Event and Distribute Digital Invitation card with #MualikoApp through BULK SMS
โ๏ธ +255713268534/0621086214
Build your online presence with us.
Services We Offered;
๐ฒ Mobile Applications (android and iOS) Development
๐ป Web Applications
๐ Website Design and Development
๐จโ๐ป UI/UX Designing
Book now: โ๏ธ
0713268534/0621086214