@ObbyWilson@JohnNgutiCDM Ina maana wewe hujui mpaka sasa kama siku zike polis waliingia mpaka majumbani kwa kuvunja milango na kuuwa watu.. au kichwa yako unatumia tu kama dispenser ya mate.
@udsm_finest Tulikuwa tukienda kuwachangisha hela za rambi rambi form 1 na hakuna alikufa wala kufiwa tukitoka hapo na washkaji ni kwenda kuzila mihogo na kachumbari beseni zima
@Kipanga1986@Aduiwayanga@_zack255 Kwanza nina wasiwasi sijui kama akilewa wezie hawabandui mana naona kakaa kichoko choko tu kwanza mtoto wa kiume unafugaje kucha kama si uchoko ni nini 🚮🚮