Usi jinafkie wala kujione haibu,Unajua Usiku umeingia na..
-Hamna kilicho badilika.
-hamna matokeo
-umesota na kupigika vya kutosha😮💨
-Umeongeza medeni
Ila kama bado unajiamini na tumaini juu yako,Huja-failure bado.weka mipango rudi kibabe lazima meza ipinduke.
Mara ya kwanza kabisa kuingia darisalamu ilikuwa ni kumfata yule mrembo wa craun kwa kuhisi angenielewa kuhusu hisia zangu dhidi yake tena niliingia mchana kweupe.
Tangu nijue kuwa hanipendi nimekuwa mtu wa kuingia usiku kama gendo.
PSG weren't better than Manchester City jana ni vile tu wao walikuwa very efficient wakifika kwenye goli la Manchester City.
Manchester City walitegeneza chance nyingi ila tu shida ni Semenyo. Kipindi cha kwanza sawa, ila second half? Dembele and Doue were no were to be found.
Kumbe Biashara Ya Spare Za Pikipiki Inafaida Kubwa Namna Hii, Mtaji Wa 1Milion Unatoboa Vizuri Tuuuh TAMISEMI Nawapa Miaka 2 Hamtoniona Tena Bakini Na Maposho Yene Ya Semina.
Mwanetu unaona wanaomlaza kuku wa 10k ndani na kumuacha Ng'ombe wa 1000k nje ni wajinga? Ahyaa sawa Wee endelea kung'ang'ania kumlaza huyo Ng'ombe ndani ila kwenye hiyo kesi jua kabisa kuwa sisi hatumo🤒