@Samwegole@Sativa255 Waliwaza Tanga kwasababu ya Bomba la mafuta kutoka Uganda na kama Tanga nyie hamtaki wao watajenga lao kutoka Tanga hadi Mombasa ambapo atapata bandari kubwa zaidi na watu walio tayari kufanya uwekezaji
@MyanikaIam@PolycarpMDM Yeye point yake ipo kwenye bandari maana kusafirisha mafuta kwa njia ya reli au barabara husafirisha mafuta kiasi kidogo kwaiyo njia nzuri hua ni maji na mombasa wana bandari kubwa sana kwa tanga
@AlexSamoja Mnao sema comedy imeshuka nahisi haupo Tz hii maana hawa jamaa wanapiga hela sana kama ile project ya Memkwa mtaa umikubali kinoma jaribu kutembea mjini YouTube utaona jinsi comedy inavokimbiza uko
🚨🗣️Wayne Rooney on Manchester United Vs Aston Villa;
“If I’m Aston Villa, I’m asking why we’re even travelling to Old Trafford.
Manchester United have an in-form Benjamin Šeško, and the attack generally is good— that’s already a nightmare for defenders.
Some games you go to compete… this one just feels like turning up to collect a loss.”
@meamswahili Hivi unasemaje free fulani kwani yeye hajui anataka nini hao wote wawili ndio upcoming players ni wakongwe wote wapo in late 30's sasa hapo iyo free inakua vipi
@hecenmo Ndio ivo unakaribisha mashambulizi na ontop huwezi kufanya counter attacks kwasababu hana runners kabisa kiwanjani na kama jana alipomuingiza Okello akaja kucheza off position nakosa impact yake tena kiwanjani
@George_Ambangil@TzFootballers@hecenmo Ilo ni sahihi ila yupo more defense minded sana na ndio maana anaanza na wachezaji ambao wanatoa nguvu kubwa off the ball kuliko on the ball na sio hii mechi moja tu bali mechi nyingi hasa za champion league.
@GeorgeJob14 Joshua sijawahi muona as ST hasa kwa EPL he is more of attacking midfielders au second striker. angecheza vizuri sana Liverpool after Firmino maana anafit kwenye ile roll sana kuliko anavo tumika na Amorim kama target man