@TzMian@MwansasuSnr unasema kwenye kipindi cha chid, alikua peke yake? una mfahamu mangwair?
Usitake tumdogoshe Chid,Tuna mkubali ila hakuwahi kufika hata robo ya Ngwair๐
chid alipendwa na hadhira ila alikua ni msanii wa kawaida sana, nature,proff,ngwair,fid,makini, unaina kuna nafas ya chid hapo?