@moodewji@SimbaSCTanzania Kipindi hiki mkiwafuata wachumia tumbo kama kina kigwa+ ndo kupoteza kabisa Timu
Unaposema flani atoke uwe na sababu
Keanu wakati mgumu hatukuwepo mashabiki
Ok acheni kusikiliza motivation speaker Kam Kina kigwa plus
@matinamayunga@chapo255 Yaani mungu Hana dini wewe ulijuaje kama mungu anazitaka hizoo dini
Huoni dini zimeleta matengano mengi??
Huoni kama kuna utofauti mkubwa WA jina la mungu na hayo yanayosemwa kwenu dini
Ulisema neno mungu general huoni kunatofauti na jina la kwenye dini
@matinamayunga@chapo255 Kama Hana dini natumai pia hazitambui hizo dini
Sasa hiyo dini ya kweli unatoka wapi na hizo namna za kufungua mizimu ambazo zipo kwenye dini mlitoaga wap? Kama ni za mungu kwanini muweke kwenye dini ilihali mungu Hana dini??
Pia ulijuaje kama hiyo ni ya kweli?
@matinamayunga@chapo255 Shida mmekomaa na kitabu kimoja(dini) Hivi unajua asili vizurii
Shetani hayupo kabisa ni upuuzi wenu tuu
Ila wachawi na mizimu IPO
Je unajua ubaya wa mizimu au ulikaririshwa hivyo
Ubaya ni wa watu au viumbe Ila shetani hayupo
Huyuu jamaa anasiti yake kwenye Tanzanian hip hop
Mfatilie Sana ujinga nj kiduchu Sana
Content hazina expire date
@dizastavina@PanAuthentik
Nikiwa hai siku yako ya kufa nitawakosoa wanafiki
@Wakazi@nickluhende@Roma_Mkatoliki Kwani hapo Kwa nash MC unataka kusema watu hawajui kma viongozi w serikali ten wa juuu wanaiba
Broo shida yako wewe ni umeendekeza bif Hadi kwenye ukweli sometimes unavunga tuu
@Wakazi Huoni kma ni ujinga ngoma dakika 7 au 11 inahit n haichoshi Ila ngoma dakika 3 tuu siku mbili Tu ni takataka
Shida ni content zilizojaa fanya mziki sipingi kukosoa kwako Ila huo no mtazamo tuu
Hivyo usiaminishe wahuni kuwa mtazamo wako na aliyekufundisha ni lazima uwe
@Wakazi Bro @Wakazi kuna muda unachotakiwa kujua wimbo unazungumzia nini na umebeba ujumbe gani
Hayo maswala ya vesi ,Koras muda mwechie mwalimu wa Sanaa pia kujiongeza siyo dhambi huwezi imba muda mrefu kma hauna content za kuomba so hata
@Wakazi Kaka @dizastavina anazo content za kutoa goma tatu so Bora afanye kwenye kwenye ngoma moja
Shida tuu Kaka @Wakazi unafanya ulichokisoma kuwa Sheria
Pia mashabiki wakikusema haimaanishi ndo utafute cha kukosoa bro
Lazima usifiwe na uzomewe zote hali Acha hasira za mihemko
@privaldinho Kuna muda lazima kila mtu afanye vilivyo na faida kwake kama wewe unavyofanya sasa
Kwan na wewe unashida gani mbona umeuacha ule ukweli uliyokuwa ukiongea zamani unashida gani
Et @privaldinho kila kitu judge your side first😂😂