@kishoka_ Adam na Hawa hawakuwa wanadamu Kwa Kwanza kuumbwa na Mungu. BALI ADAM ALIKUWA MWANADAMU WA KWANZA KUFANYA AGANO NA MUNGU. so watu walikuwapo.
@SeekNaturalLife@OleSebele Kutembea na mke wa Mtu na mwanamke asiye kuwa mke wako Kuna kupa kicheko. Wanaume tumevimbewa sana. Yaan machumizo Mtu anafurahia hakika Giza ni giza
@assengajrr@AbroadTanzania Mungu ni roho. Yeye ni Mume anatuhudumia uzima,uchumi,afya na vyote ktk roho vinadhibitika ktk mwili
Isaya 54
5 Kwa sababu Muumba wako ni mume wako; Bwana wa majeshi ndilo jina lake; na Mtakatifu wa Israeli ndiye Mkombozi wako; Yeye ataitwa Mungu wa dunia yote.