Ni muda mrefu sana umepita tangu niandike THREAD hapa X; It's almost been a year now.
Mimi hua sio mbinafsi wa kutoa MADINI. Tuliza akili, chukua kalamu, notebook, na calculator.
Anguka nayo👇🧵
THREAD: NAMNA YA KUTENGENEZA PICHA ZA GHIBLI ANIME STYLE
Ikiwa wewe ni mtumiaji mzuri wa mitandao, utagundua Kuna trend moja imeshika kasi sanaa.
Trend hii inahusu kubadili picha kuwa katika muonekano wa Kikatuni maarufu kama Ghibli-style Anime.
"Ghibli anime style" trend watu wana-post picha zao au za mazingira ya kawaida lakini zinakuwa katika muonekano wa ki-anime.
Sasa hii imekaaje? Nini hasa kinaendelea?
Kwa ufupi sana!!
🧵👇🏾
Leo tuangazie jinsi Godlove Mwakibete anaratibu kupata pesa? Je yupo peke yake jibu ni hapana ana mtandao wa vijana ntakaowataja ambao anawatumia kulaghai na kuvuta pesa za Mazamwamwa , ni kina nani hao shuka nami Paparazi uwajue wote ili siku ukikutana nao kimbia mbio kali sana
🚨👨🏿💻APPS KUMI NA TANO (15) ZINAZOWEZA KUKUTENGENEZEA PESA NYINGI SANA MWAKA HUU 2025🚨👨🏿💻
Kuna apps nyingi zinazokulipa mtandaoni kwa njia tofauti. Hapa kuna apps 15 ambazo unaweza kutumia kutengeneza pesa mwaka 2025,Nazo ni.....!!!!👇🏿
Usisahau kufollow @mchache_tz
Ukinunua Gari ambalo Wamiliki waliopita walilitumia vibaya, unapaswa ukubali kuwa hutokuwa Dereva pekee wa gari hilo, Mafundi wataliendesha sana na watabaki nalo usiku mwingi Gereji ili walitengeneze, gari hilo litakuathiri kiuchumi na kiakili.
Mbaya zaidi Wamiliki wa mwanzo wanaweza kuliazima hilo gari lako wakati wowote wakihitaji, kuna muda ukiwa unaendesha hilo Gari lako utaona Madereva wengine wanakuwashia taa kwakuwa wanalifahamu hilo gari.
Nimeipata mtandaoni hii hekima, sio ya kwangu😀
Ilikuwa ni usiku wa Juni 10, 2020, Dubai, wakati mji ulikuwa umetulia tuli.
Taa za majumba ya kifahari zikivuta kama nyota, magari ya bei ghali yakipita polepole kwenye barabara za Sheikh Zayed Road, na upepo wa joto ukipuliza kutoka jangwani.
Lakini katika chumba cha kifahari cha Palazzo Versace Hotel, kelele za milango kuvunjika zilisikika ghafla.
Polisi wa Dubai waliingia kwa kasi, kwenda kumkamata mwamba Ramon Olorunwa Abbas, maarufu kama Hushpuppi.
Kijana wa mtaa wa Oworonshoki huko Lagos, Nigeria, ambaye kila mtu alimuona ni “mfalme” wa Instagram, akiishi maisha ya kifahari na magari ya mamilioni, jezi za Gucci, na picha za ndege za binafsi.
Lakini siku hiyo, maisha yake ya dhahabu yaligeuka kuwa chuma cha gereza cha Marekani.
Thread 👇🏾
Hizi ni tools/apps chache za AI ambazo ukichagua hata mmoja tu ukajifunza jinsi ya kuitumia. Ndani ya miezi 3 unaweza kuona $$$.
▪️ChatGPT (OpenAI), Grok, Claude, Gemini
▪️Leonardo, ArtFlow, MidJourney – AI Images
▪️Canva (AI Features)
▪️Pika Lab, Mini Max, Javi, Sora, Runway ML, Kling, Google Veo 2 - Al video Generators
▪️HeyGen - Create and translate videos with AI Video Generator
▪️Overlap, Opus - turn your long-form videos into short viral clips with Al
▪️NotebookLM, ElevenLabs – Text To Voice
▪️Suno, Udio- create songs / music / beatsfrom text
▪️Fashn AI, Photoroom - Al image editor, great for product photos and visuals
Jifunze tool, angalia ni monetization model gani utatumia kupiga hela, piga hela.
Kama una swali lolote weka kwa comments..
Kazi za Graphic designs miaka ijayo zitaanza kuwa ngumu! hili Grok la Elon Musk unaliandikia tu logo yako unataka iweje linatengeneza chap sec 30 linashusha picha za sample 😂😂😂😂
Kama Unataka Kujifunza Marketing Lakini…
…hujui ni wapi pa kuanzia.
Basi tafuta kitabu cha Seth Godin kinaitwa—THIS IS MARKETING!
Ni bonge moja la kitabu, nina uhakika utajifunza vitu vya msingi sana—Highly recommended!