Ifike mahali King’amuzi cha Tv kifanye kazi kama Luku ya umeme. Usipowasha taa umeme hauendi so Kama hujaangalia Tv na chenyewe hakili bando, haya mambo umelipia then unasafiri hujaangalia Tv ila ukirudi kifurushi kimeisha ni WIZI kama WIZI mwengine tu
Mambo yakiwa yananyooka uwa tunasahau kama Mungu yupo, sasa wacha aondoe Baraka, Neema na Rehema zake kwako, eeehe Waganga watakula sana pesa zako 😆
Utapigwa maradhi, mikosi, shida na kupoteza watu muhimu.
Mungu ni inevitable wazee, usimsahau nyakati zote.
ITAKUSAIDIA SANA...
Kila siku jifanyie u-CAG kwenye matumizi ya:
1. Muda
2. Pesa
3. Energy
>> Unahitaji time management kulinda MUDA wako.
>> Unahitaji Budgeting kulinda PESA zako.
>> Unahitaji mindful living kulinda ENERGY yako.
Haya mambo 3 ndio tafsiri ya utajiri wako.
#WEWENIMGODI
Kila siku tunayoamka tunapata nafasi nyingine yakusahihisha makosa, kujaribu Tena, kupenda zaidi, kusamehe zaidi, kufikiria zaidi, kufanya Ibada zaidi na kufurahia zaidi.
Tusichukulie poa hii neema yakuamka salama siku nyingine.
*TAFAKARI NJEMA*
Kadrii siku zinavosonga mbele hauitakiwi Kuwa na vitu vingi unahitaji marafiki wachache sana na maisha ya faragha akili iliotulia na moyo wenye furaha..
Njia Pekee ya kupunguza wazee kwenye Vyombo vya kimaamuzi ni Kuweka ukomo wa miaka 10 Bungeni na mawaziri wasitokane na wabunge wachaguliwe watu wenye professional ili kupunguza mlundikano wa wanasiasa wakongwe kwenye nyadhifa
Tukifanikiwa tutaanza upya
Tafuta mtu ambae ameshapita hatua ya matamanio ya kimwili, bali matamanio yake ya sasa yawe ni amani ya moyo, akili ya maisha na kutulia na mpenzi mmoja 😊❤️
Katika maisha yangu ya utafutaji, nimejifunza mambo 6 ya msingi ili kufikia MALENGO yangu ni:-
1. MIPANGO (plans)
2. MAPAMBANO (Actions)
3. NIDHAMU (Discipline)
4. UVUMILIVU (Tolerance)
5. KUJITATHIMINI (Self Evaluation)
6. GOD IS ABOVE ALL
Hii ya Mifungo ya Kwaresma na Ramadhan kuongozana miaka miwili mfululizo nafikiri kuna namna Mungu anaamua kuongea na Ulimwengu 🤝na mwenye Maskio asikie ujumbe huu utokao kwa Mungu🙏