π° SIASA XTRA 255 | Habari za Siasa,Michezo, Burudani, Uchumi, Teknolojia na uchambuzi wa taarifa muhimu kutoka Tanzania na duniani. Taarifa kwa haraka.
πTAFFA YAZINDUA MFUMO WA KIELEKTRONIKI KUANZIA AGOSTI 1, 2026
Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) kimetangaza kuanza rasmi matumizi ya Mfumo wa Kielektroniki (Electronic System) kuanzia tarehe 1 Agosti 2026.
π΄ MUBASHARA SASA!
Fuatilia moja kwa moja Jukwaa la Tano la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya p (LCCF 2026) kutoka Malaika Beach Resort, Mwanza.
πΊ Bofya hapa: https://t.co/ryYztfXUje
#LocalContent#UshirikiWaWatanzania#SektaYaMadini#LCCF2026
@JamiiForums πTANGAZO HILO JAMANI
Mfumo wa RITA wala hauna tatizo hamfati maelekezo mbona matangazo yao wanasema kama una cheti cha zamani kilichochapwa kwa typewriter lazima ukibadili. Nenda insta page yao soma tangazo