@TillahBlessed@jobles_bukujero Bado ni mdogo sana kwenye carrier yako huwa unaandika jokes za kijinga unaowaponda na kukejeli ndipo unatamani ufanye nao kazi.
@siadevinci Raisi wa Palestina kawakataaa Hamas hizo taarifa unazo?Civilians na watoto waliouwawa na Hamas kwenye music Concert mbona hupost?Hamas Nilitegemea kuwa na plan ya kuandaa hizo tunnels au bunkers kwaajili ya kulinda civilians dhidi ya mabomu ya Israel imagine hadi maji hawana .
@meamswahili Kabla ya kuwalaumu Wanamuziki wa Tanzania ukifanya research ndogo ukichukua kila kundi la vijana kumi (random selection) mfano Dar es Salaam changanya mitaa je ni vijana wangapi wame install audiomack utapata jibu.
@OfficialAliKiba Unapendaga utrend kupitia mwenzio huna jipya kimataifa umeflop,unapenda kuonekana special imagine mwenzio kakukuta lakin kafanya mambo makubwa .Ukipitwa namba unasema wameiba.Hebu kasikilize Last last,Anybody, On top of the world za Burnaboy zote kasample hadi melody.
@SheriaNgowi@YoungAfricansSC Uzi mzuri lakin kwanini mmeshindwa kutumia nyimbo za wasanii wa kibongo kama amapiano za akina marioo na Chinno kid nzuri na ni mashabiki wa Yanga.