Anasimama Wakili wa Serikali Mwingine Job Mrema
Job Mrema; Waheshimiwa Majaji Mahakama kuu
Naomba kwanza kwa kueleza naunga mkono zote ambazo......
Jaji; nenda kwemye hoja yako mambo ya kuunga mkono Mahakamani hayapo hapa.
Taifa ambalo redioni asubuhi hadi mchana wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama wanajadili umbea. Jua likizama wanarudi kwenye michezo. Usiku wanajadili ngono hadi pakuche. Hakuna vipindi vya taaluma, ujasiriamali, kilimo, midahalo. Hilo ni TAIFA lipo kaburini kitambo.
Nassoro Katuga; waheshimiwa majaji
Kama endapo unaomba Mahakama imuite shahidi halafu aje na siyo kwamba Mahakama imuite halafu wewe uje ufanyie cross
Kama unaona shahidi muhimu basi utaomba Mahakama imuite
Waheshimiwa Majaji tunaona siyo busara Mahakama kutoa wito kwa mashahidi blindly
Kuna siku mshtakiwa ataomba Mahakama imuite Mwenyezi Mungu aje kutoa ushahidi hapa.
Kwa hiyo ni upande wa Jamhuri tunaona hakufuata utaratibu kuita mashahidi
Naomba kuhitimisha kwamba maombi ya summons kwa mashahidi hawa 7
Wengine hatuna shida nao ila afuate utaratibu
Tundu Lissu; Shahidi wa pili anaitwa Phillip Isdory Mpango. Ambapo wakati huo alikuwa Makamu wa Rais. Kiongozi namba mbili wa serikali. Upande wa utetezi unaamini kuwa ana ushahidi muhimu.
Jaji; Sasa mshtakiwa atapewa nafasi kusema kidogo kuhusu hizo haki zake ambazo nimeshamueleza
Tundu Lissu: Waheshimiwa majaji baada ya kusikiliza uamuzi wa Mahakama napenda kuijulisha Mahakama ndiyo nitajitetea
Tundu Lissu; Nitajitetea mimi mwenyewe kama shahidi wa kwanza.
Na vile vile nitaita mashahidi ambao naomba Mahakama iwapelekee summons haraka
Shahidi wa kwanza ni SAMIA SULUHU HASSAN
Ndiyo Chief Executive wa serikali inayodaiwa kutishiwa
Kwa hiyo SAMIA SULUHU HASSAN popote alipo apelekewe summons haraka
Vile vile shahidi huyu ni mwenyekiti wa baraza la usalama.
Nataka nijue kama yeye na baraza lake wanajua kuhusu hilo tishio
Basi Mahakama hii inaona kwa mujibu kwa kifungu cha 312 cha kanuni ya adhabu kuna kesi iliyojengwa
MAHKAAM INAONA KWAMBA MSHTAKIWA ANA KESI YA KUJIBU.
Mshtakiwa anatakiwa kuleta mashahidi wake wakati wa kujitetea. Mahakama baada ya kusema hivyo mshtakiwa ana haki mbili.
1. HAKI YA KUJITETEA
2.HAKI YA KULETA MASHAHIDI WAKE
3.KAMA MSHTAKIWA ATAAMUA KUKAA KIMYA MAHAKAMA INAWEZA KUWAPA UPANDE WA MASHTAKA KUTOA COMMENT ZAO
Jaji anaendelea kusoma uamuzi.
Mahakama imepitia ushahidi ambao upo katika kumbukumbu na hivyo basi,
Kwa kutambua hakujawa na ubishi kuwa maneno yaliyo katika hati ya mashtaka yakitamkwa mbele ya viongozi wa chama na wanachama
Kosa mbalo Mshtakiwa ameshitakiwa nalo
Ushahidi unamzunguza mshtakiwa kuwa alizungumza mbele yake na mbele ya watu wengine
Kutokana na ushahidi huo Mahakama haingii kwa unadani kuangalia uzito wa ushahidi au kuaminika kwa shahidi.
Kwa kuwa Mahakama haiendi kwa kiwango hiko
Jaji anasoma uamuzi.
Lakini leo akiwa na kigugumizi balaa.
Jaji anasoma kwa ufupi (summary)
Ameanza kusoma viini vya makosa.
1.Mshtkiwa anatakiwa kuwa mtii kwa Jamhuri
2.Endapo mshtakiwa alitangeneza nia ya uhaini
3.Endapo alidhihirisha nia kwa vitendo au kwa umma
Kiini namba 2 na 3 ndiyi Mahakama imejikita zaidi kuchambua.
Kwanza nani kawaambia Watanzania wataridhika na msahama??
Muombe msamaha, msiombe sisi tunachotaka ni uwajibikaji wa mauji na sio msamaha.
We want accountability? Msamaha kawaombeni wake zenu.
Wakulaimiwa ni serikali ndio imefanya mambo yawe hivi na watu waonewe na waone wanakosa haki zao,
Oscar amemshambulia Manara baada ya kuonekana anaitetea serikali kuhusu matukio yanayoendelea nchini na hasa Dar es salaam.
Je Una Maoni Gani Juu Ya Mvutano Huu #taarifa_24
Leo ni siku muhimu kwa Tanzania na wapenda haki Duniani.
Asanteni Wananchi na wanachama wa CHADEMA kanda ya Pwani kwa kujitokeza ktk kushuhudia siku hii ya kihistoria.
Mwenyezi Mungu amtangulie Tundu Antipas Lissu.
Huyu kwenye picha Anaitwa peter Richard mushi kazi fundi simu Kkoo
alipigiwa simu na mtu tr 13/8/2026 na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mteja anaitaji kutengenezewa simu
Alimwelekeza alipo lakini mteja akataka ndugu peter amfuate maeneo ya china plaza alipofika china plaza 👇🏻RT