@Mgagagigikoko_J@godbless_lema Kama CHADEMA ndio wanaofanya haya, na wewe "KAPURWA" unajua hvyo. Kwa nini polisi wasiwakamate?
Wewe tayari ni shahidi wa Jamhuri kwenye hilo
@PMadeleka@mwigulunchemba1 Hata Lowassa aliwahi kupanda daladala kipindi cha kampeni. Hajawahi kulipanda hilo daladala tena mpaka alipokufa "unafiki". Unafiki wenu wanasiasa tushaujua ukiwepo wewe.