@bonichengula mie nimepigwa spear na mwamba bado ananipigia aniendeshe zaidi nikimtafuta ili nimfanyie delivery najikuta naongea na mteja mwingine na yeye ni fundi anahitaji mzigo ila pesa inatakiwa itumwe kwa bosi wangu ananikosa ila mwanzo nilipomwagizi boda nilipigwa