@fbuyobe Ko mwanetu had jana ulikuwa na sms Unread ya miez mitatu had kufikia jana tarehe 16 ndo unakumbuka kuscreenshot๐๐ hapo umetupiga tengeneza rist nyingine
"Mimi nimeambiwa tangu majuzi kwamba na wewe wanataka wakukamate wakumbambikie kesi ya uhaini, nataka nimwambie @SuluhuSamia , nipo tayari, sitakimbia nchi yangu." Mhe. @HecheJohn
Tupeni AJIRA tuwalipe.
Nchi za Africa kama Namibia,Algeria,Misiri nk wanatoa Elimu ya Juu ( Chuo Kikuu) Bure Serikali ya CCM baada ya miaka 60 ya Uhuru inatumia mikopo ya Chuo kama biashara!. Na ajira hamtoi mnataka tuuze FIGO kuwalipa!. Mtuwacheee