Wanachofanya CCM ni sawa na mchezaji kuvaa jezi ya refa halafu kudai mechi ni ya haki.
Captain wa timu moja hawezi kuwa mwamuzi wa mchezo huo huo.
Huwezi kuwa mgombea, ukateue tume, uipe bajeti, uiagize, halafu utuambie eti uchaguzi ni huru.
Tume huru haimaanishi kusifiwa tu