Waziri wa @ViwandaBiashara Mhe. Dkt. Seleman Jaffo, ametembelea banda la Chama Kikuu cha Ushirika cha KDCU Ltd katika maonesho ya nane nane, ambapo amepongeza amepongeza jitihada za chama katika uzalishaji, uongezaji thamani na utafutaji wa masoko shindani ya zao la kahawa.
Mwenyekiti wa Bodi ya @ushirika_tcdc Bw. @amnsekela akiongozana na Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt. Benson Ndiege pamoja viongozi wa @CRDBBankPlc wametembelea banda la KDCU Ltd inayoshiriki maonesho ya wakulima…
THE TOP 30 COFFEE PRODUCTION COUNTRIES IN THE WORLD:
Uganda is the First in East-Africa, Second in Africa and Seventh in the World.
Great Thanks goes to @CoffeeUganda for the Tireless Devotion to work towards this Achievement.
We hope to see Uganda at the Top of the List soon.
@alphoncel2001 @IssaKalenge @JamalyShindano@iAlfordMbwambo @Lif3ofdavis @Eleyne18@Nancymila7 @MdMmasi @raphy1398 @ReganTesha_ @ReubenSporah@RaphaelMheta Parameters zote ziliangaliwa wakati wa utengenezaji wa visiwa hivi ikiwemo mawimbi makali.. ikumbukwe hii ni project 1 kati ya 4 kubwa pale Dubai. Na hii ni baada ya kubaini mafuta yanaenda kuisha 2015, ambayo yalikuwa chanzo kuu cha uchumi wa Dubai.
Rwanda imeidhinisha kulima bangi na kuisafirisha nje ya nchi, lakini matumizi yake ndani ya nchi yameendelea kupigwa marufuku. Serikali ya nchi hiyo inakusudia kuongeza mapato kutoka kwenye soko la dunia la bidhaa hiyo lenye thamani ya $345 bilioni (TZS trilioni 800).
MSAADA: Anasumbuliwa na tatizo la kupungukiwa damu kutokana na uboho (bone marrow) kushindwa kutengeneza seli mpya za damu. Kwa kuwa hakuna uzalishaji basi muda wote anakuwa na upungufu mkubwa wa damu muda wote. Naamini mchango wowote unaweza kufikia malengo.