@EmanuelLukwaro@gkinabo1@PMadeleka Hapana, yaan unaposajir ndoa, wao ndo wanaenda kukuombea serikalin, na ndo maana ndoa inatangzwa week 3 mpaka nne Kansan, na ndo utaratbu wa serikali, kinapokuja kanisan maana yake kimeshasaijiriwa na serikal tayar
Watu wamekua busy kushindana kutafuta na kuwa na wapenz wazur na kwenye pesa, ndo maana mapenzi ya siku hizi hayadumu, maana hao wazur na wenye pesa wanagombaniana mapenzi, nan ataponakuumizwa??
@HildaNewton21 Je nkwambie sababu ya wanaume kulia??? Ck hiz wanaume wengi wanapenda kulishwa, yaana kulelewa na wanawake, sasa akimpata mwenye vijisent lazma alive maana ndoto yake imetimia