Ndo muwakome hao @ccm_tanzania maana wao hawawahitaji nyie, twende na @BernardMembe 2020 akitokea cck hiyo ndiyo dawa ya manyanyaso hayo ya kina bashiri na wenzake poletwende
Nimeona Video Maafisa Wa Maji Pale Ruvu Wakifyeka Mahindi Ambayo Yamestawi Vizuri Kwa Kile Ambacho Wakulima Wamelima Mahindi Hayo Jirani Na Hifadhi Maji.
Ndio Wananchi Wamekosea Lakini Hawa Maafisa kwanini Wasingesuburi Wavune Kwanza Kibinadamu?? Kwanini Wamefanya Hivi?
Mlivyosimama hapo na @halimamdee hebu mkirudi sasa heshima na adabu hiyo muiendeleze bungeni mwenu. Maana hapo mnaonekana kama watu,kumbe ni viatu tu mkiwa bungeni mwenu
Kampuni ya PWC imepewa idhini na Benki ya Biashara ya Maendeleo Kusini na Mashariki ya Afrika kudai na ikibidi kutaifisha mali za Yusuf Manji.
Moja ya dhamana alizoweka Manji wakati akikopa fedha kwenye benki hiyo ni jengo lake la Quality Plaza lililopo Barabara ya Nyerere Dar.
Waziri wa Madini Mhe Angellah Kairuki (Mb) atafanya ziara ya kikazi nchini China kuanzia tarehe 9-13 Dec 2018. Mhe Kairuki atakutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Maliasili wa China Mhe LU Hao na kushiriki kwenye mkutano wa kuvutia uwekezaji katika sekta ya madini nchini
Manji Alikua Na Makampuni Matano, Ameshafunga Makampuni Matatu Yamebaki Mawili, Na Hayo Makampuni Mawili Yaliyobaki Alikua Ameajiri Karibia Wafanyakazi 3000 Lakini Sasa Wamebaki Wafanyakazi 100, Lengo Ni Kufunga Makampuni Yake Yote Na Kuhamia Zambia!! Tumuombee Mtukufu Rais