@raphinha_jm7@CarolNdosi Nadhan aliweza tumia whatsap wakati bado wewe hujafanya taratibu za ku renew katika yale masaa 2 hapo ndio aliweza kusajili whatsap mpya kwa kutumia namba yako, so wewe ilipoenda ku renew akawa hana tena access ya line ndio maana passord zikaja kwako baada ya ku renew
@noeloberd@daktarimtalii Hata pia mwonekano wa mwanamke akivua nguo pia unakufanya uwe na mzuka, labda demu Kibungo jamaa kaamua tu isiwe tabu ye anadhan jamaa ana shida au K inatoa ule weupe
@evarist_jacob@CloudsMediaLive Shida vijana wengi hawajui, anataka kupiga pesa home na za bodi, akishamaliza na kuanza kaz ndio anakuja kuelewa sasa bora asingechukua huu mkopo
@shefartdc@YourFrenchFry Naona kamaanisha usiwe tegemezi sana kwa kitu ambacho kiko ndan ya uwezo wako kutekeleza unless labda umefuata taratibu zote unaona unakwama ndio unaweza mcheki mtu